Jesca Jonathan Msambatavangu – Mbunge wa Iringa Mjini
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Peter Msigwa wa CHADEMA)
Elimu:
Shule ya Msingi...
1. Mbunda Jonas William - MBUNGE WA MBINGA MJINI
Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 26698 (2020)
Elimu na Taaluma Yake
Strathclyde University, UK: Master of Science in Finance (2005–2006)...
1. Kundo Andrea Mathew - Mbunge wa Bariadi
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 92488 dhidi ya Maendeleo Bernard Makoye (CHADEMA) aliyepata kura 33339
Elimu Yake...
Wakuu,
1. Samweli Xaday Hhayuma – Mbunge wa Hanang
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Samweli alipata kura 14,203, akimshinda Kiza Hussein Mayeye kutoka...
Wakuu,
1. Ezra John Chewelsea – Mbunge wa Biharamulo Magharibi
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kura katika Uchaguzi wa 2020: 40,526 (alishinda dhidi ya Mbelwa Petro Zimbia wa CHADEMA)
Elimu...
1. Mwantakaje Haji Juma - MBUNGE WA BUBUBU
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7563
Historia ya elimu
- Pwani Mchangani Secondary School: CSEE: 1986 - 1988: Secondary School
- Pwani...
1. Haji Makame Mlenge - MBUNGE WA CHWAKA
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7563
Historia ya elimu
Ukongoroni Primary School: CPEE, 1977 - 1985
Mikunguni Technical Secondary School...
1. Ramadhan Suleiman Ramadhan - Mbunge wa Chakechake
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 4136
Historia ya Elimu
Madungu Primary School and Michakaini Secondary School: CPEE, 1992 -...
1. Mbarouk Juma Khatib - MBUNGE WA BUMBWINI
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 11240
Historia ya Elimu
Makoba Primary School: CPEE, 1975 - 1982
Uzoefu wa Kisiasa
Chama Cha Mapinduzi...
1. Salim Mussa Omar - MBUNGE WA GANDO
Chama: CCM
Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3390
Historia ya Elimu
Diploma University of Dar-es-Salaam Computing Center 2011 - 2013
Certificate...
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Wakuu,
1. Selemani Jumanne Zedi - MBUNGE WA BUKENE
Utangulizi
Mbunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora.
Alishinda uchaguzi wa 2020 kwa kura 16,920.
Aliwashinda wapinzani, wakiwemo Steven...
Yaaan ukifika banana panda kwenda kivule aisee.
Kuna lami wamekula wajanja yaaan wanatengeneza vipande wanafika Sehemu ya Kilomita zaidi ya 7 hakuna njia mashimoo tupu.
Unakuta lamiii tena hawa...
Wakuu,
1. Saashisha Elinikyo Mafuwe – MBUNGE WA HAI
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu:
Uduru Primary School (1991-1997)
Kivukoni Secondary School (1999-2002)
St. Augustine University...
Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua
Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote
Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye...
Wakuu,
1. Issa Ally Mchungahela - Mbunge wa Lulindi
Chama: CCM
Muda wa Uongozi: 2020-2025
Nafasi Nyadhifa Alizowahi Kushika:
Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira (2021-2023)...
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki.
Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba...
Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote.
Katiba mpya na Sheria mpya za...
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.