Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo...
Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla...
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu...
My Take
Cheo ni dhamana, maisha yaendelee 🙏🙏👇👇
===
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa...
Wakuu!
Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba...
JIBU
Tabia ya kuharibu uchaguzi, kuiba kura na tabia ya kutekana, italeta umafia wa kuuana, mgawanyiko katika nchi na vurugu za kiitikadi miongoni mwa raia, kisha vurugu za kiitikadi miongoni mwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu...
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi...
Mungu hamwachi mtu wake
Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu
Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani
CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tumeshuhudia utekaji, mauaji na mateso mbalimbali kwa wananchi.
Kama haya ni huu uchaguzi mdogo kabisa. Je nini kitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao mi wa Kumchagua...
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena?
CCM oyeeee!
Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi Jaji mstaafu Mbaruk Mbaruk anesema Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga kura Mawakala wa Vyama Vya Siasa wataruhusiwa kuwepo lakini...
Wakuu,
Watu wenye ulemavu kutoka mkoa wa Tabora wameeleza wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayowakumba wenzao wenye ulemavu wa ngozi (Albino), wakisema kwamba baadhi ya watu bado wanashikilia imani...
Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
Wanabodi
Wanabodi,
Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la...
Wakuu,
Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha...
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba...
Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati.
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.