Heshima kwenu wanajamvi.
Mgombea uRais wa CCM ni Samia Suluhu Hassan.
CHADEMA mgombea wenu nafasi ya uRais ni nani?
Kila nikichanga karata zangu mgombea anayefaa kubeba heshima ya kukiwakilisha...
"Uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao utakuwa wa huru na wa haki, wakati nazungumza hivi nina hakika wapo ambao wana mashaka na kauli hii, na hao wenye mashaka wanazo sababu, na sababu zao zinatokana...
Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao...
Kuishinda CCM ,sio jambo dogo sababu kwanza wameshikilia dola , wana wanachama watiifu wengi ,na pesa pia .lakini wakifanya yafuatayo kwa katiba hii wanaweza shinda :-
1.Wawa hamasishe na...
Watanzania hawaandamani lakini wanamlilia mwenye mamlaka mbinguni na duniani awaadhibu wale wote wanaogiza, kubariki na kutekeleza mauji ya watu wasio na hatia pamoja na ukatili mwingine wowote...
Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka.
Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan.
Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa...
Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025
Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa...
Nilichokiona kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni kwamba wananchi Wana muamko wa kupigia kura upinzani shida upinzani umegawanyika.
Nina shauri ya kwamba upinzani wafikirie kutengeneza...
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI
Safari ya CCM 🚍
Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi...
Wana JF,
Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
Wakuu,
Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye...
Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga...
Wakuu,
Unatoa msaada ukiwa umevaa shati ya mama mitano tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
=====
Zaidi ya wananchi 15 katika Kata ya Unga Limited mkoani Arusha...
Wanabodi,
Mbunge wa jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ametangaza rasmi kuwa hatagombea ubunge mwaka 2025.
Ndugulile amedokeza kuwa kwa sasa yupo mbioni kuanza majukumu yake kama Director wa...
Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameonesha kujali changamoto zinazowakabili waendesha bodaboda jijini Arusha kwa kuchangia shilingi milioni 2 kwa ajili ya kulipia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido.
Pia soma:
~...
Joseph Haule (Prof Jay), akizungumza na baadhi ya wananchi kwenye moja ya mikutano ya kampeni Jimboni Mikumi mkoani Morogoro, kuelekea uchaguzi na Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.