Nikisiliza kwa makini namna kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka huu, nashuhudia kabisa kuwa uchaguzi huu ni maandalizi ya moja kwa moja kwa ajili ya mwakani. Si ajabu watu...
Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi
Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za...
Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo...
Wakuu,
Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani...
Wakuu,
Kwahiyo lengo la serikali ilikuwa kumsumbua tu na kumhenyesha basi! Job true true!
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana aliyekuwa mahabusu kwa...
Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika...
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi...
Japo itaonekana ni kuvunja katiba lakini kuna sababu za msingi za kufanya hivyo.
Hivi bunge halioni kujadili hili suala na hatimae mahakama kupitia mwanasheria mkuu wa serikal naye akashirikishwa...
Salaam, Shalom!!
Nchini petu Tanzania , mwaka kesho 2025 kutakuwapo na uchaguzi mkuu Kwa ngazi zote, Udiwani, ubunge na nafasi ya Urais.
Limeibuka kundi dogo la watu linaloanza kujadili habari...
Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi...
Wakuu,
Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu...
Vigogo wa CHADEMA mkoa wa Arusha wamesema ni suala la muda tu Lema atamfuafa Msigwa.
Vigogo Hao wamesema kwamba Lema hufanya vikao vya siri na Makonda na Mrisho Gambo. Katika kujiandaa na hilo...
Wakuu,
Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu...
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa...
Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema...
Tukio la maafa limetokea katikati ya jiji eneo lenye watu wengi saa 3 asubuhi, lakini vyombo vyote vya uokozi vimechukua masaa kujitokeza kuokoa watu waliochini hadi Raia wasio na dhana za uokozi...
Ni kuchanganyikiwaaa au vipi
Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye
Watanzania kwa...
Wakuu,
Mambo hayo, kwani matokeo si huwa yanajionesha tu? Kitu kikijitembeza ndio unatuambia hamna kitu hapo, ni garasa.
====
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala leo Novemba 18,2024...
Salaam Wakuu,
Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.