Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024.
Mkutano huu unafanyika kwenye...
Kabla ya yote naomba kuwapa pole Wafanyabiashara wenzangu wa Kariakoo kwa kuangukiwa na jengo, nimeguswa moja kwa moja na ajali hii kwa sababu nina washirika wangu wa kibiashara wamepata janga...
Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Simiyu kuepuka kugawanywa kwa itikadi za vyama na badala yake kudumisha Amani na...
Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii .
Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia...
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za...
Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja.
Samia yuko Madarakani mwaka wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake
Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili...
Wakuu,
Lema ameyasema haya baada ya uchaguzi wa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha, mnyukano wa CHADEMA jana unazidi kuweka fukuto. Mambo yanazidi kuwa moto.
====
Lema asema bora watu 10 wenye...
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea?
Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye...
Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani...
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye...
Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27?
===
CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje...
People's power! Bila shaka Mh. Tundu Lissu ni mzima wa afya njema. Pole na kulipigania hili pendwa taifa hili. Mwanasiasa mwenye msimamo mikali zaidi Tanzania, mzalendo namba moja Tanzania...
Ukweli usiofichika ni kwamba Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali hata mfumo wa CHADEMA.
Tundu Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yoyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo...
Endapo Chadema itarudia Ujinga wa 2015 wa kubadili Gia angani kwa Tundu Lisu basi wajue sisi Watanzania wapenda Demokrasia hatutakubali
Kuna tetesi kwamba wale mawaziri wawili machachari...
Naona Lissu anawatukana viongozi wenzake kwa lugha za mafumbo. Kama anajiamini si awaseme hao anaodai wanapokea fedha? Kwanini aendeshe siasa za majungu?
Nashauri kamati kuu imuite ajieleze, na...
Wakuu,
Wakati sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikeindelea kushika kasi, CHADEMA nao wameendelea kukisuka chama chao.
Hivi Karibuni Omary Toto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.