Wakuu,
Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂
Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka...
Wakuu,
Kwani kampeni tayari zimeshaanza?
Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo...
Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa nchini inadaiwa kuongeza gharama za usajili kwa asilimia 9,900, gazeti la JAMHURI limeelezwa.
Awali, gharama za usajili zilikuwa ni Sh 25,000 kwa usajili wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania badala ya kulilaumu Jeshi la Polisi kuhusika na matukio ya utekaji na mauaji, ni vema wakajiuliza kwanini matukio hayo yanatokea kila inapokaribia...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuiva..
====
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa...
Wakuu,
Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi!
====
Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka...
https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa.
Fuatilia updates kadiri...
Mh. Freeman Mbowe na John nyika wanasalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania! Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Poleni na changamoto za kisiasa mnazokumbana nazo, kwa ajili ya...
Wakuu,
Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi.
=====
"Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu...
Wakuu,
Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya.
=====
Kwa...
Wakuu,
Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina...
Hii ni fact kutokana na uzoefu wa mahali pengi duniani na hata ccm kwenyewe huwa rais anapotumikia muhula wake wa mwisho ni kipindi kigumu sana kiuongozi.
Kuna kuwa na mambo mengi sana...
Wakuu,
Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
====
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa...
Wakuu,
Tunaendelea katika episode nyingine ya Mama anaupiga mwingi na kunenepesha ng'ombe siku ya mnada!
=====
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Felician Mtahengerwa, ameendelea na ziara zake...
Wanabodi,
Hivi kweli kwenye nchi ambayo wanafunzi wanakaa chini na hawana hata vyoo huko mashuleni, mtu ambaye umeaminiwa na wananchi na wanawake wenzio kweli unaenda kugawa computers huko CCM...
Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.