"Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri...
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu...
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.
My Take...
Wakuu,
Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM?
Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi...
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa...
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuwa na subira.
Amesema watakaokatwa licha ya kushinda kura za...
Siasa ni Sayansi
Fikiria kama Tundu Lissu angejiandikisha kupiga Kura mtaani Kwake Iwe Tegeta au Kijijini Ikungi hilo zengwe ambalo lingeuandama Mtaa huo
Halafu 2025 ingesemekana TAL hakubaliki...
Achana nao hao wazembe nakuomba katika mikutano yako usiwe unawataja taja hao watu, unawapa mileage ambazo hawastahili, sasa hivi wanaokoteza Wagombea wanawaambia wachukue fomu, CCM ni chama kubwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.ni aibu isiyo bebeka,ni aibu na fedheha ya kiwango cha juu sana.
Hivi...
Uchaguzi mkuu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoongoza nchi kwa kipindi fulani. Katika kipindi hiki cha kampeni, wananchi wanapaswa kutumia fursa hii kuwauliza wagombea maswali...
Hello!
This is Africa.
Twende kwenye mada
Ikiwa mwanasiasa atakupa fedha, huduma au kukufanyia jambo lolote kipindi cha uchaguzi usipaniki.
Maana yake ni hii; Machoni pake wewe ni tahira. Don't...
KKKT Ina MKUU MMOJA TU
Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo:
1. KKKT ina Mkuu mmoja...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea...
Wakuu,
Ni mwendo wa kusafisha njia tu sasa hivi ili 2025 mambo yawe marahisi!
===
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Shaaban Ali Othman ametoa kiasi cha Tsh Milioni moja (1)...
Mwandishi wetu.
Wakati chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi Mjini kikijinasibu kupitia Mbunge wa Chama hicho Jimbo la Moshi Mjini kuwa waliahidi ahadi 10 ambapo wanadai 9 zimekamilika na moja ya...
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka...
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni
" Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga...
Wakuu,
"CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende...
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.