Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob aka Boni Yai amesema kuliko ilivyozoeleka mgombea Wao wa Urais wa JMT 2025 atawashangaza wengi Huenda ikawa ni Surprise kubwa, amesema Kiongozi...
3 Reactions
14 Replies
666 Views
Asalaam Aleykum wana jamvi. Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50. Hizi habari...
1 Reactions
10 Replies
442 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi...
2 Reactions
25 Replies
852 Views
Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na...
10 Reactions
78 Replies
3K Views
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20. Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
2025 kama CCM itashindwa kuwapitisha Wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaokubalika na Wananchi basi Tutapata Tabu sana Wabunge na madiwani wengi wa sasa siyo Chaguo la Wananchi bali Wateule wa...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
MAKALLA AFANYA KIKAO NA UONGOZI NA WATUMISHI WA TOT Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Watumishi na...
3 Reactions
9 Replies
618 Views
Kimsingi mababa Askofu Dr Shoo na Dr Bagonza wanachosema ni kwamba Mpendwa Wetu Mh Rais Samia anabebwa na Kazi zake na wala siyo Kimbelembele Cha Chawa wanaojipendekeza Mababa Askofu wametisha...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao. ===== Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja...
0 Reactions
5 Replies
333 Views
“Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa. Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo. Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za...
7 Reactions
17 Replies
666 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi...
2 Reactions
7 Replies
514 Views
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17 Source: East Africa Radio
6 Reactions
83 Replies
2K Views
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya...
13 Reactions
92 Replies
2K Views
Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake...
0 Reactions
5 Replies
300 Views
Ni wazi kuwa Tanzania ipo katika msimu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Hii itafanywa kwa...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Salaam Wakuu, Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Back
Top Bottom