Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe...
"Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa...
Uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa ni wa aina yake sana na wale wanaotegemea kubebwa wajitathmini Kwa Upya
CCM Kwa mfano inaingia kwenye mchakato wa uchaguzi bila wastaafu Muhimu RIP Mkapa na RIP...
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu...
Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha...
Kwanza kabisa ni kuwag'oa viongozi wenye vinasaba na CCM kama Mbowe na Mnyika.
Pili ni kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwapa elimu Wananchi kuwa CCM sio ile ya enzi za Mwalimu bali sasa ni ya...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na...
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake...
Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu.
Sasa kuna...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, jana tarehe 27 Oktoba 2024, amezindua soko jipya la Jumbi katika wilaya ya Magharibi B, mkoa wa Mjini Magharibi. Hafla...
Wakuu,
Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule
Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB...
Salaam Wakuu
Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi...
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
Ndugu zangu wananchi ili tuendelee kupata tunayoyapata haya miradi ya kila aina, vituo vya umeme na mambo mengine msiende kufanya makosa...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji...
Nimeona Clip moja Oscar Oscar anauliza swali lenye mantiki Sana.
Ingawa sikuona muendelezo wake kama alijibiwa swali Hilo, lakini mantiki ya swali lenyewe imenifikirisha Sana.
Hapa JF ni "Home...
Mi nashindwa kuelewa rais anapata wapi pesa za kugawa kwa marafiki, jamaa, viongozi wa dini, wasanii, na machawa wake
Nasema hivyo kwasababu niliona juzi kamnunulia kiongozi wa dini moja hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.