Wakuu,
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na...
My Take
1.Utaamini chama ambacho kwanachaguana Kwa rushwa?
2.Utaamini chama ambacho kina viongozi wanaonunulika kama nyanya?
3.Utaamini chama ambacho hakina Sera?
4.Utaamini chama ambacho...
Morris Makoi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini amefanya kile kilichowashinda wengi baada ya kufanikiwq kuisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa...
Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini.
Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na...
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa na kufanya tathmini ya hali ya utendaji wa kazi wa watumishi wa serikali katika mikoa ya Tabora, Arusha na Dar es salaam ambapo mitandao ya kijamii...
Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa...
Na Mwandishi wetu Dar.
Mwenyekiti Mstaafu wa Serikali ya Mtaa wa Sangara Kata ya Msongola wilaya ya Ilala jijini Dar esSalaam,Pili Charles Ndimaye amejiunga na Chama Cha ACT Wazalendo baada ya...
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais, kwa haraka haraka hapo ulipo...
Na Thabit Madai,Zanzibar
UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi...
Wakuu,
Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama...
Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote...
Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu:
Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua.
Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji...
Wakuu,
Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi...
Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho...
Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na...
Kuna jambo la kushangaza ambalo limeshamiri sana kuanzia mwaka 2016, nalo ni mabango ya picha ya Rais kila mahali. Tabia hii haikuwahi kuonekana wakati wa utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala...
Mchakato wa uchaguzi wa viongozi hua ni mgumu na mrefu na hivyo huruhusu makosa ya kibinadamu na kimfumo na kiteknolojia kutokea katika mchakato huo. Tatizo kubwa Afrika ni Kutokukubali matokeo ya...
Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza tarehe 18 Oktoba, 2024 Amejiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kiwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.