Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x Usalama wa taifa upo upande...
3 Reactions
8 Replies
348 Views
Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako...
0 Reactions
43 Replies
1K Views
Siasa za hoja ufanywa na wana mikakati ambao wanaweza wasiwe wanasiasa ila wanafahamu vyema siasa. Siasa za hoja zinahitaji sana kampeni meneja ambaye ni neutral na mwenye malengo ya Taifa kuliko...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Ahadi ni deni ni matumaini ya wote kuwa kauli ya Komredi Kinana inatekelezeka Hapa tumekumbushana tu Kwamba Chadema na CCM walishatuahidi uchaguzi Huru na Haki tofauti na Chaguzi za Shujaa...
2 Reactions
21 Replies
573 Views
Msanii maarufu wa muziki wa hip-hop, Joseph Haule, anayejulikana kama Profesa Jay, ametangaza rasmi kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza kwenye kipindi cha...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
KUPIGA NA KUPIGIWA KURA NI HAKI YAKO KUGOMBEA NAFASI YA UONGOZI NI HAKI YA URAIA Tumeadhimisha kumkumbuka Mwl Julius Kambarage Nyerere. Ni vyema Sasa kupitia katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za...
3 Reactions
10 Replies
465 Views
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja...
3 Reactions
56 Replies
1K Views
Wakuu, Tukio linaondelea wakati huu ni ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania. Kwenye maadhimisho...
3 Reactions
17 Replies
778 Views
Wakuu, Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda. Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama...
4 Reactions
46 Replies
846 Views
Kwa ufahamu tu: Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua...
2 Reactions
5 Replies
975 Views
Na THABIT HAMIDU, ZANZIBAR Bahati Issa Suleiman 51, Mkaazi wa Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja alikuwa mgombea wa nafasi ya Udiwani wadi ya Bungi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupitia Chama...
2 Reactions
4 Replies
309 Views
Kuna jambo nimejaribu kulitafakari sana kuhusu huu uandikishaji ,miaka yote tunaandikishwa na kupewa vitambulisho. Ni kwanini awamu hii mnaandika majina tu na hamtoi kitambulisho? Ni nini lengo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na...
0 Reactions
5 Replies
182 Views
Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa. Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri...
0 Reactions
6 Replies
221 Views
Kama heading inavyojieleza mpaka muda huu mgombea aliyeshindwa kanda ya nyasa amegoma kusema lolote, ameahidi kuita press na kuongea yote yaliyojiri kwenye huo uchaguzi kifupi hajaridhirika. Hizi...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Nashauri Rais wetu mpendwa angepumzika by 2025 baada ya kumaliza utawala wa mpito aje Rais mwengine by 2025/2030. Kulingana na ukweli kwamba Rais wetu ametoka katika jamii zinazokumbatia Sana...
19 Reactions
52 Replies
2K Views
1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa mwenendo wake na hata ayanenayo tokea ajiuze huko CCM, Peter Msigwa amekuwa akitumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha Umma wa Watanzania eti yeye ni CCM kindaki-kindaki haswa. Najiuliza, hivi...
2 Reactions
12 Replies
520 Views
Back
Top Bottom