Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi . 1.Mjasiri 2.Mtu mwenye busara 3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka . Upinzani...
2 Reactions
19 Replies
455 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi PIA...
1 Reactions
15 Replies
578 Views
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge. Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi...
5 Reactions
32 Replies
970 Views
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia Mchungaji Msigwa...
3 Reactions
31 Replies
851 Views
Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala. Soma Pia: Waziri Jenista...
5 Reactions
64 Replies
2K Views
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Nimefika hapa Soko la Wamachinga parking Nzega nikataka kujionea kijiwe cha Kahawa cha wanawake ambacho Rais Samia alionekana akinywa kahawa maana nimezunguka mikoa mingi sijawahi kuona kijiwe cha...
16 Reactions
28 Replies
866 Views
Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Nasikia Rais Samia Suluhu Hassan atazindua uandikishaji wapiga kura Serikali za mitaa Tanganyika. Lakini Samia Hassan Suluhu ni Mzanzibari na masuala ya uchaguzi wa Serikali za mitaa si miongoni...
16 Reactions
71 Replies
2K Views
Hii imekaaje wakuu? Soma Pia: CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini
4 Reactions
22 Replies
992 Views
Vurugu kubwa zilizotokea Katavi katika uchaguzi wa hivi karibuni wa Chadema, zimeonesha wazi jinsi migawanyiko inavyoathiri demokrasia ndani ya chama. Wanachama walichapana makonde na kuchaniana...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika...
18 Reactions
89 Replies
3K Views
“Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
0 Reactions
17 Replies
818 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwezi kuzuia Upendo wa watu kwa CCM,huwezi kuzuia mahaba waliyonayo watanzania kwa CCM,huwezi kuficha hisia za upendo walizonazo watanzania kwa CCM.hiki chama kinapendwa...
1 Reactions
69 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amesema wanaodhani atahama CCM na kwenda Chadema au Chama kingine chochote wanaojidanganya bure Mpina amesema mwaka 2012 alipoipinga Bajeti ya Serikali baadhi ya...
3 Reactions
7 Replies
995 Views
Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) limetoa tamko la kukerwa na matendo ya Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia chama hicho kabla ya kuhamia CCM. BAWACHA...
1 Reactions
9 Replies
602 Views
Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
10 Reactions
210 Replies
12K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Back
Top Bottom