Kitendo cha viongozi wa Chadema kurushiana maneno mbele ya wanachama wenu kimenishangaza sana, wakati umma ukiangalia Chadema kama chama ambacho kitaleta mabadiriko ya uongozi wanagombana...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya...
Naomba nikiri kwamba Mh. Mbunge ni Mdogo wangu na ni Rafiki yangu pia, amekuwa Mwenyekiti wangu wa UVCCM wa Wilaya ya Meatu wakati nikiwa Mwenyekiti UVCCM Taifa lakini pia wakati nasoma degree ya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya...
Wakuu,
Kwa wiki karibu yote iliyopita huko visiwani Zanzibar, tume huru ya taifa ya uchaguzi ilikuwa kwenye mchakato mzito wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu namna ya kujiandikisha kwenye daftari...
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa...
SHIKAMOO SIMIYU, YAJA NA MITANO TENA
Maelfu ya wananchi wa mji wa Bariadi na vitongoji vyake waliofurika kwenye mkutano mkubwa wa hadhara mjini hapo wamemtuma Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi...
Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ?
Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi.
Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa...
Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k.
Tuwaambie ukweli...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora:
Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa...
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa duniani, na Tanzania imeathirika pakubwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa kama mafuriko, ukame, na kupungua kwa rasilimali...
Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa
fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa...
Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati...
~ Atamba azi kubwa ya maendeleo iliyofanyika ni turufu ya ushindi kwa CCM na Rais Samia 2025
~ Aomba ukarabati kituo cha afya Mwika Msae
na upanuzi kituo cha afya Himo
~ Aomba pia barabara kwa...
Jimbo la Singida Mashariki CHADEMA lashindwa kufanya uchaguzi kutokana na kushindwa kutumia misingi ya Demokrasia.
Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika leo, kutokana na vurugu zilizojitokeza...
Tafadhali usije kupitwa na Taarifa hii, kwamba Shehe Msomi Ally Kadogoo leo amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, baada ya kujizolea 66% ya kura zote.
Uchaguzi huu...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero...
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura
Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.