Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii haijawahi kutokea...
Hiki kinachoitwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa raia wote waliokidhi vigezo na wanaohitaji kupiga kura ni aina fulani ya kituko na jambo lisilo na tija yoyote katika demokrasia...
l will be honest
Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo.
Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.
Tafuteni alternative . 2025 kazi...
Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema
Namnukuu
"Lakini mimi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika...
Wanabodi, kwa kauli hii ya Jaji Warioba ndio kusema kwamba CCM wanaanza kukubali mmoja mmoja kwamba walipora uchaguzi au kuna namna hatujamuelewa mzee wetu?
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania...
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama
Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura...
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba...
Wakuu,
Makonda ameendelea kutoa spana huko Arusha baada ya kusema kuwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa muda mrefu kwa sababu walikuwa wanaendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara.
Kauli hii...
Huenda mmeshajua kuwa sehemu kubwa ya Wananchi wana upeo mdogo wa ufahamu kuweza kufikiri na kutambua kuwa mnawapotosha kwa manufaa yenu kulingana na ukosefu wa elimu au kuw na elimu duni...
Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia...
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na...
Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha?
Iweje Kila msanii awe CCM...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga...
Wakuu,
==
Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini...
Wakuu,
Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku...
Tathmini yetu (ambayo ni ya uhakika) inaonyesha kwamba Umaarufu wa Chadema umeongezeka kwa zaidi ya 25% kuelekea kwenye Robo ya Mwisho wa Mwaka, huku ikipanda kutoka 60% kutoka ilipokuwa kwenye...
Siasa ni Sayansi
Acha wale vijana wenye ngozi ngumu waliojengwa kikamilifu na CCM wote warejee Uongozini tayari kwa 2025
CCM inawahitaji zaidi Vijana aina ya Lengai siyo hawa Lege lege mrenda...
Wakuu salaam,
Hivi mlifikiria nini kumualika Rais Samia kama mgeni rasmi na mpaka mkampa tuzo? Mlishauriana kwwli mkaona hii ni good move na italeta matokeo chanya mbeleni? Yaani mnafikiria kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.