Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amemshukuru Rais Samia Kwa kukataa ushauri wa kubadili ratiba Ili aende Marekani ambapo jana angehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dr Nchimbi amesema huo ni...
Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa...
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must...
Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024.
"… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha...
Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27...
Pamoja na siku za hivi karibuni kutoa boko sana kwenye hotuba zake lakini this time inaonekana kama Rais Samia ameanza kurudi kwenye mstari.
Kuna kauli ameitoa akiwa akiwa huko na Namtumbo, kauli...
Taarifa kamili hii hapa
---
Tanzania clamps down on opposition rally, arrests leaders
Former presidential candidate Tundu Lissu and at least 500 youth supporters among those detained.
Police in...
Wanajukwaa Kwema!
Siku zinahesabika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini kote.
Sasa swali la kujiuliza vipi muamko wa Wanawake wa...
Palikuwepo wasiwasi Kwamba Mwanasiasa Maarufu Kanda ya Nyasa Lucas Mwashambwa atachukua form za kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.
Uvumi huo ulimfanya mbunge wa zamani Joseph Mbilinyi (Sugu)...
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada...
November 27.2024, patafanyika uchaguzi wa kihistoria nchini, kwa ngazi za serikali za mtaa na vijiji nchi nzima. Vyama vya siasa vilivyo jizatiti kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo muhimu...
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wa 2024, kumekuwa na hali ya muamko mdogo miongoni mwa wanawake kuonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hii inatokana na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa katika miaka hii mitatu yamekuwa ni makubwa sana na kuwa kama ndoto au miujiza kwa wananchi wengi na waheshimiwa wabunge katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa uchungu mkubwa sana na hisia kali sana amesema na kuwaomba sana wananchi...
Wakuu,
Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa;
Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale...
Salam Wakuu,
Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye...
https://www.youtube.com/watch?v=i0jHmbJVjS4
Akizungumza wakati anazindua jengo la ofisi y mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Rais Samia amewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kutumia...
Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho...
Ndugu zangu watanzania,
Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya...
Rais Samia akizungumza na wananchi wa Peramiho amesema kuwa Sera ya CCM ni wananchi waishi maisha ya amani na kuwe na utulivu wa kisiasa wananchi waweze kufanya mambo yao kwa raha kabisa, hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.