Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua...
0 Reactions
5 Replies
219 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki. Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa...
16 Reactions
71 Replies
3K Views
Naona kuna vita vikali sana ndani ya Chama Cha Mapunduzi (CCM). Hii inanikumbusha kipindi cha Hayati Dr. Magufuli. Kuna muda alipingwa sana na watu ambao kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida atajua...
11 Reactions
89 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Amekoshwa na uchapa kazi wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM pamoja na kasi ya ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya...
2 Reactions
26 Replies
676 Views
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation 2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake 3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake My take: hilo nililitegemea and that is...
34 Reactions
296 Replies
11K Views
Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka...
0 Reactions
29 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala...
4 Reactions
13 Replies
942 Views
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Jaji Mstaafu, Mzee Joseph Sinde Warioba akitoa hotuba yake katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali siku ya leo Alhamisi Septemba 19, 2024 katika...
8 Reactions
19 Replies
810 Views
Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Rais Samia alikuwa hajajiandaa kuwa amiri jeshi mkuu. Hivyo wakati wa uchaguzi 2025, nitaungana na Watanganyika wenzangu kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye...
5 Reactions
8 Replies
300 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali...
29 Reactions
300 Replies
12K Views
Wasalaam, Inafahamika wazi nchi hii hakuna vyama vya upinzani zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni matawi ya CCM na...
6 Reactions
26 Replies
659 Views
Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam...
13 Reactions
132 Replies
24K Views
Wanabodi, Uchaguzi umekaribia. Tunajua CHADEMA watakuja na sera zao Katiba mpya meanwhile CCM watakuja na sera zao za jinsi walivyonunua madege, kujenga flyover na SGR. Lakini kwanini, vyama...
2 Reactions
3 Replies
252 Views
Mwanachama wa CHADEMA James Mbowe, amelaumu serikali kwa kuunda mazingira yanayowafanya wananchi kudharau mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na Jambo Tv, Mbowe ameeleza kwamba wananchi wengi...
1 Reactions
1 Replies
207 Views
CHADEMA mnatakiwa kueleweka kwa wapiga kura wako Tanzania sio balozi au jumuiya ya kimataifa au vyombo vya habari vya kimataifa mnatakiwa kueleweka zaidi kwa wapiga kura walioko Tanzania sio...
1 Reactions
7 Replies
181 Views
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao...
0 Reactions
7 Replies
526 Views
Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono. Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa...
1 Reactions
3 Replies
761 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom