Tulia Ackon hajawahi kusimama upande wa umma hata siku moja Japo chombo anachokiongoza kinawakilisha sauti ya umma.
Amekua akizuia hoja zote zinazowakiliaha sauti ya umma. Yeye ndiye kapunguza...
Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.
Kabla hakujapoa, Ngorongoro...
Mwaka 2020 wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu, nilikuwa nawaambia viongozi wangu kuwa ni lazima CCM watatuibia kura kwa mtindo Mpya kabisa.
Sababu ya kusema hivyo ilikuwa ni jinsi CCM...
Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake
Nadhani madhumuni, misingi na...
Ndugu wanajukwaa,
Sio mara Moja au mbili maandamano kuonesha matokeo chanya huko duniani kiasi Cha kubadili kabisa hali na mfumo mzima wa maisha lakini pia yameonesha ni chaguo la mwisho la...
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi...
Nashangaa sana kusikia Kauli za baadhi ya Viongozi wa CCM wakisema Eti UCHAGUZI ujao utakuwa HURU na HAKI. Najiuliza huo HURU na HAKI ya UCHAGUZI utapatikana vipi wakati VYOMBO na WATENDAJI bado...
Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo...
Nilikuwa nawaza hapa kwamba CCM ndio chanzo cha matatizo yote haya, lakini hapana wananchi wanaoikalia Tanzania ndio chanzo cha mfumo mbovu wa siasa zilizopo nchini.
Mohamed Kawaida, Tulia Akson...
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya...
Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri...
Chama cha ACT-WAZALENDO, tambueni nyie ni chama cha upinzani siyo chama rafiki cha CCM kumbukeni nyie ndiyo kipaumbele chenu kilikuwa tume huru ya uchaguzi muliamini kuwa tume huru ya uchaguzi...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama...
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia...
Nilitegemea Msigwa ajikite ktk kueneza na kutangaza mawazo mapya (ya akili kubwa) ili kuondoa mapungufu ya kiuongozi, kisheria na kisera ndani ya serikali inayoongozwa na ccm. Lkn badala yake...
Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni.
Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za...
Habari zenu wanabodi,
Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Msigwa kwenye mahojiano hayo...
Jinsi ulivyo Uchaguzi mkuu wa 2025 ni Mpya na wa aina yake
Katika Mazingira kama Haya lazima waibuke Fisi wanaotamani madaraka kabla ya majira yao
Tuzidi kuliombea taifa letu
Tunayoyashuhudia...
Inafahamika kuwa 4Rs zilimnyanyua juu juu juu zaidi kimataifa Rais Samia kwenye nyanja ya demokrasia. Hii inaweza kuwa chanzo cha hasira kwa wale wote waliokuwa wakisema hataweza.
Bwawa...
Katibu Mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema Mjumbe wa sekretarieti ya Chadema hayati Ally Mohamed Kibao alitekwa na Kuuawa akiwa ametoka kuendesha Mafunzo ya Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.