Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kumtaka Mchungaji Peter Msigwa kuomba radhi na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Mikutano ya Makatibu Wakuu wanakimbia ila hii ya roporopo anayoenda kuchamba chama chake cha zamani ahhhh, sababu inawachafua wengine na kuwapaisha wao. Ngoje tuona Msigwa atakuja na jipya gani...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to...
17 Reactions
89 Replies
5K Views
Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura...
1 Reactions
32 Replies
650 Views
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ametoa ya moyoni baada ya kuondoka kwa Mchugaji Peter Msigwa ndani ya chama hicho na kuelekea CCM akisema ni pigo sana kwake na CHADEMA. Amesema Msigwa...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa...
1 Reactions
105 Replies
4K Views
Nije Moja Kwa moja.kwenye mada: Falsafa ya 4R ambayo Rais Samia Suluhu Hassan anaiwasilisha kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2024 inapaswa kutazamwa kwa makini...
0 Reactions
7 Replies
429 Views
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka pembe zote, Bila kujali kutekwa Viongozi wa Chama hicho wameendelea kupiga Spana bila huruma. Ileje ni miongoni mwa maeneo yaliyopuuzwa kabisa kwa miaka mingi...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu salam, Inawezekana matukio haya hasa kwa wapinzani kutekwa na kuuliwa ikawa kitendawili kwa serikali, bado ikawa fumbo kubwa kwao kung'amua nani anahusika na maatukio haya dhalimu, lakini...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na...
4 Reactions
117 Replies
3K Views
"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha...
0 Reactions
4 Replies
490 Views
Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu salam, Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka...
4 Reactions
4 Replies
507 Views
Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020. 1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa. Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020. Kama viongozi...
31 Reactions
371 Replies
17K Views
Back
Top Bottom