Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida,
Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu...
Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani
Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali...
Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan
Pia...
Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini.
Ambapo amesema ya...
Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu...
Ndugu zangu kauli hz zimezoeleka sana tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi na tukiwa kwenye uchaguzi vilevile,je Hv ni kweli mtu anaweza kula pesa ya mtu na asimpe kura?,na je aliyetoa pesa hizo...
Salaam, Shalom!!
Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk.
Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na...
05 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi...
Naibu Sipika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge wasiogope kurudi majimboni kwani kuna miradi mingi ya kuzungumzia na kuwa wameonyesha wana sifa za kurudi bungeni 2025.
“Niwapongeze wabunge...
Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%.
Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa...
Ukiangalia mchango wa Lisu kwa CHADEMA ni mkubwa sana kulinganisha na ule wa duni ,hata muda wa kutumikia chama pia ni tofauti maana ACT WAZALENDO ni chama cha juzi tu na sio kama CHADEMA cha...
Tanzania imebahatika kuwa na waumini wa dini kuu mbili Ukristo na uislam. Dini hizi zinafundisha maadili ya kukataa rushwa, udadilifu, kuheshimiana, kutenda mema kwa wote ili tuweze kujikomboa...
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na...
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.
Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum...
Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya...
Serikali ilitoa fursa ya Vyama vya siasa kutoa maoni ya Mabadiliko ya sheria za Tume ya Uchaguzi,kama sikosei Chadema walisusa wakidai wanataka Katiba Mpya ilhali wanajua mda hautoshi.
My Take...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.