Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania.
Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee...
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara...
Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo.
Vyama vya...
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu...
Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM.
Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na...
Askofu Bagonza
"Jumapili ya 1 September mosi 2024, mmoja wa watekaji wa 4R alijitokeza hadharani na kutoa siri kuwa alihusika katika kuvuruga Nchi na kufanya uhaini wa serikali dhidi ya...
Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga.
Ngara; 02.09.2024
Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya...
Wakuu salam,
CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na...
Friends and Our Enemies,
Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine.
Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja.
Ni hadi...
Habari wakuu
Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano
Wajumbe wametoa maoni...
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua...
Fikiria jinsi Mchungaji Msigwa alivyoaminiwa na Chadema pamoja na Wanachama wote
Kumbe ni Fursa ya Vyeo na kupata Fedha ndio ilimuweka Chadema lakini hakuwa na Mapenzi yoyote na kile Chama...
Nikiri kuna changamoto kwenye vyama vya siasa, mimi sipendi kuumauma maneno kwa sababu mimi kweli ni wakili, lakini mimi ni mwanasiasa ninavijua hivi vyama, vina changamoto kubwa, vinaumiza na...
Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki?
Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si...
Wakuu,
Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine...
Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri...
Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda!
Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au...
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli...
Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.