Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na...
Ningeshangaa Senior lecture katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama bora kabisa Afrika kilicho na katibu mkuu msomi wa kiwango cha PhD akubali kufanya mdahalo na vijana wasio na elimu wenye vyama...
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?
Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi?
Mbona zile purukushani za...
Ni Bahati Mbaya kwamba hukufika kwenye Mdahalo huo kwa sababu unazozijua Mwenyewe.
Niliamini kwamba kwa vile Wakati wa Mradi huo wewe ulikuwa kiongozi wa Uvccm pamoja na Sukwa Said Sukwa wa...
Najiuliza tamasha hili nani anafadhili?
Limejaa watumishi wa Mkoa wa Mwanza nadhani ndiyo wameanzia mwanza ila hii CHALLENGE inaenda mikoa YOTE!
Walimu hawajaachwa nyuma. wana kwaya nzuri sana...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel...
Hatimaye kwa masikitiko makubwa, Mdahalo wa makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini umeahirishwa kutokana na wahusika kuingia mitini!
Mbona kwa nchi za wenzetu haya mambo yanawezekana na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi...
Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga.
Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na...
Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti...
kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana...
List ya wengi wanaotekwa na kupotezwa ni wale raia wanao support au wanachama wa vyama pinzani na ccm. Hii inamaanisha nini?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kutoa wito kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kulifumua Jeshi la Polisi nchini kwa...
Baada ya onyo la Polisi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA waliodaiwa kuwa na mipango ya kuvamia vituo vya Polisi, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema hatua hiyo ni shambulio jingine la...
Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama.
Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active...
Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi 😆😆😆😆
Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe...
ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana.
lakini pia kuepuka kuaibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.