Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ikiongozwa na Kamishna Nyanda Josiah Shuli leo Agosti 27, 2024 wamekutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika Makao...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19
Aidha CCM...
Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa
Hata...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina atamba kwa kusema Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumfukuza.
"Yani mimi ni fukuzwe kwa kuwasema hadharani wezi, mimi nifukuzwe kwa kukataa Wananchi...
Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga.
Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata...
Wakuu salaam,
Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote.
Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza...
MBUNGE JULIANA MASABURI AWASHIKA MKONO UVCCM WILAYA YA ILALA UJENZI NYUMBA YA MTUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Anayetokea Mkoa wa Mara) Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 03 Agosti...
Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini.
Matokeo ni kuwa wanapo ondoka...
Wote wenye Nia ya kugombea nafasi za uongozi hasa uchaguzi wa nafasi ya Urais mwaka 2025 wajikite kwenye masuala ya Usalama na uchumi.
Kwanza, wajikite kwenye kuimarisha Usalama wa nchi. Hali sio...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili.
Majaliwa...
Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka...
Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi...
Tuelewane
CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo
CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha
CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende
CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini Kwa sasa, ni dhahiri kuwa CCM ishaanza rasmi kumnadi mgombea wake wa Urais wa mwakani, ambaye ni Samia Suluhu Hassan.
Tumeshuhudia katika ziara alizofanya...
CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya...
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya...
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.