Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Baada ya kupiga kura za kuchagua viongozi wa TLS, Mhe. Tundu Lissu alitoa hoja inayohusu uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa wananchi wa Ngorongoro. Lissu amesema kwamba zaidi ya watu laki...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura...
3 Reactions
10 Replies
431 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mheshimiwa Hamad Masoud amesema kuelekeka uchaguzi Mkuu ndani ya chama hicho ngazi ya Taifa, hakutakua na mgogoro wowote kwa kuwa wanachama hao hawana tamaa...
0 Reactions
8 Replies
386 Views
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda. Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana...
27 Reactions
149 Replies
4K Views
Leo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030. Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
10 Reactions
82 Replies
3K Views
Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024...
37 Reactions
358 Replies
12K Views
Hofu imetanda CHADEMA tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon. Imefikia mahali, kila kiongozi...
2 Reactions
114 Replies
2K Views
Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba Tundu Lisu na Shujaa Magufuli wanafanana katika mambo mengi ikiwemo Ujasiri, Kujiamini, Ubabe, Upendo na One Man Show Tofauti yao ya Msingi ni Moja tu Kwamba...
11 Reactions
49 Replies
1K Views
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa. --- Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi...
5 Reactions
86 Replies
5K Views
Wamebaki ma chawa na walamba asali kumpongeza kinafiki huku tukiwa nao mtaani wana mng'ong'a. Naogopa nihisipo mwisho wake. Najiuliza, utakuwaje!? Kila pembe sasa ni kilio kumlaumu yeye...
4 Reactions
4 Replies
661 Views
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa...
12 Reactions
129 Replies
4K Views
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi Mzee Kikwete amesema kukiwa na...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
Kuna utumwa wa aina nyingi ukiwemo wa fikra, ngono, kutumikishwa na pia huu wa siasa ambao Msigwa na Peneza ndo unawahusu CCM sasa hivi kazi yao ni kuitisha mikutano halafu wao wanakaa background...
0 Reactions
5 Replies
396 Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo...
2 Reactions
101 Replies
2K Views
Habar wana nzengo, Kumekuwa na matamanio makubwa sana kwa wananchi kutaka kuona mabadiliko ya kiutawala kwa kuamini ya kwamba utawala uliopo madarakani hivi sasa unakiuka misingi ya dwmokrasia...
1 Reactions
7 Replies
540 Views
Au nasema uwongo ndugu Zangu Wale Wazee wa mipango pengo lao halijazibika ndio unawaona akina Maria na Mwabukusi wanatamba tu huko Ngorongoro Mlale Unono 😀😀 PIA SOMA - Kuelekea 2025 -...
4 Reactions
12 Replies
722 Views
Kampeni hazijaanza lakini mambo ni motoo, yaani kila anayepata nafasi ni mwendo wa kujipigia chapuo tuu, kama hakupeleka alivyosema atapeleka jimboni huu ndio muda wa kuviwasilisha! Wacha...
0 Reactions
3 Replies
466 Views
Kwa msaada wa wiki pedia Viti maalum vya wanawake ni nafasi bungeni zinazotolewa kwa utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali na unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika...
4 Reactions
8 Replies
602 Views
Tumeona kila mara anateua na kutengua! Wale wale aliowatengua anawateua tena na kuwatengua tena. Kwa kiingereza ana recycle watu wake bila kuwapa elimu wala semina elekezi. Anachofanya Samia ni...
20 Reactions
135 Replies
5K Views
Back
Top Bottom