Akiwa anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo August 20 Rais wa TLS amewataka Jeshi la Polisi kutoka mbele na kueleza wamefikia wapi uchunguzi wao kuhusu orodha ilie iliyotolewa kwa...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuweka rekodi katika Jimbo la Vunjo ya kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa daraja linalounganisha vitongoji vya Msufini na Kisimani...
Walisema tembea uone mengi pia uliza ujifunze.
Katika zoezi la CCM kusajili wanachama wake, kuna mengi wananchi wanaojitokeza kuandikishwa hawajui au wamefichwa. Wengi wanaenda na kadi za tume ya...
Msing'oe bendera ya chama chochote, bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima.
Ambapo...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili...
Wadau naomba nikumbushwe na kisha tujadili kwa faida mapana ya nchi yetu.
Kama sijakosea Kuna mwaka fulani kigezo cha mgombea Urais kiliwekwa kuwa ni pamoja na kuwa na walau digrii moja bila...
Kwa muhitasari:
Tundu Lissu: "Ni rafiki yangu wa muda mrefu tangu mwaka 2006. Kuhama kwake kumeniumiza sana na ni pigo kwa chama kwa sababu Msigwa alikuwa ni mtu mpamnaji mzuri sana"
Tundu...
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe...
Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024.
Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa...
Unadhani kwa mazingira bora na tulivu haya ya uhuru, haki na usawa wa kidemokrasia yaliyopo sasa hivi Tanzania, ni chama kipi miongoni mwa vyama vya siasa zaidi ya 20, vyenye usajili wa kudumu na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia...
Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali imeweka mipango na mikakati ya kuhakikisha watoto wanapata malezi bora...
Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni...
Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua
Wakuu andiko langu litakua fupi sana.
Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika...
Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa...
Ndugu Tundu,
Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao!
Na badala yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.