Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !
Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa...
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hana mpango wa Kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 bali anadhani kuna haja ya kwenda kuimarisha Bunge.
Akizungumza kupitia...
"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa...
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.
Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake...
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Geita, Rose Busiga amegaragara chini wakati akimuombea kura Rais Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha...
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko CHADEMA ataendelea kuwatumikia.
Pia soma: Alipanda mpaka mnara lakini wapi! Unafikiri anaandaliwa kwa cheo kingine au ndiyo...
Tunakoelekea na hizi Chaguzi zetu huku Njaa ikiwa Kali ni hatari sana.
Kutoka Chawa hadi Dodo Lililoiva 😄
Tusubiri wa kiumeni watajiita Tunda gani. 🐼
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka...
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa...
Kule Kinondoni kulitokea ubishi mkuu wa kutunishiana misuli kati ya Meya kamarada mh.Songoro Mnyonge(diwani kata ya Kinondoni kama sikosei) na aliyekuwa DED wa Kinondoni mh.Sipora Pangani.
Zogo...
Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu...
Your Excellency,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Raisi, Ninaamini umzima wa afya na unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa kadri Mwenyezimungu alivyokujaalia...
Dear President Samia,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania !.
Bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema kulijenga taifa letu. Nakuombea kwa Mungu afya tele na uimara kwa vile...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Septemba 03, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Serikali kuhusu malipo ya fidia kwa wananchi wake...
Naam,
Kueleke mechi ya uchaguzi tayari wachezaji wote timu zote wapo uwanjani wanapasha misuli kabla ya kurudi vyumba vya kubadilishia nguo ili watoke rasmi na kuingia uwanjani kusubiri kipenga...
Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana...
Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA 😄😄🔥
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
Kama katika...
Ndugu zangu,
Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.