My Take
Naunga mkono hoja.
Ukiwa na akili timamu huwezi Baki kwenye chama ambacho limejaa Wala rushwa,hakijielewi ,hakina sera,hakina dira na Wala hakijui nini itakuwa mstakabali wake
Uwepo wake...
Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji
Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi...
Rais Samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu mazito ya kuliongoza taifa letu pendwa la Tanzania.
Bila shaka unapitia wakati usio wa kawaida kutokana...
Nchi hii ni yetu sote. Kwa mantiki hiyo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni bila kuingiliwa maadamu havunji sheria. Nazungumza na Chadema kama mwakilishi wa vyama vingine vya upinzani nchini...
Rais mama samia nakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, pole na majukumu mazito ya kufanya mamuzi katika taifa letu hili pendwa.
Mambo ni mengi mda ni mchache sana, bila shaka...
Wakuu,
Chawa wakubwa wanaendelea na kazi yao kuhakikisha mama anakuwa anapambaniwa na kukubalika vilivyo, kwa upepo unavyoenda mnaonaje Wakuu, watatoboa?
Rais Samia amekuwa muungwana anayeipenda...
"Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar litaanza tarehe 07 hadi 13 Oktoba 2024.
Akizungumza katika mkutano wa wadau wa...
Zamani kidogo nilidhani unapokuwa na Cheo kikubwa basi waweza kushawishi watu wengi wakupende, na hasa watu wa Kwenu, kumbe sikuwa sahihi.
Wakati mwingine huwa najiuliza huyu Tulia Ackson...
Siku ya jana Tume Huru Ya Uchaguzi ilikamilisha uboreshaji wa Daftari lake la kudumu lkatika mikoa ya Dodoma na Singida, ambapo uboreshaji katika maeneo hayo ulianza tarehe 25 Septemba 2024 na...
Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni dhahiri na wazi kabisa kuwa kwa sasa CHADEMA imefika hatua imekata tamaa kabisa ya siasa hapa Nchini,imepoteza morali,hamasa,nguvu iliyokuwa nayo miaka Kadhaa...
Wakuu,
Najua kwa sasa Nay Wa Mitego ndiyo hot cake kwa wapinzani. Yeye na Roma ndio wasanii pekee upande wa mainstream ambao wamekuwa na uwezo wa kuzungumzia yale mambo yanayoendelea nchini...
Pamoja na kuwa jimbo hili limeongozwa na chama twala kwa miaka yote isipokuwa mitano tu tangia nchi ipate uhuru wake lakini bado limekuwa la mwisho kimandeleao jijini Daresalaam!
Kwa Upande wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii...
Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
Mchungaji kutokea Kanisa la Pentekote, Davina Kahwa ameibuka hivi karibuni kuzungumzia uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika 2025.
Mchungaji huyo ambaye pia anatokea kwenye huduma ya uombaji wa...
Ninatoa wito kwa Rais Samia na serikali yake kuchukua hatua za haraka kuhusu hali ya maendeleo katika Jimbo la Chunya na Lupa, Mkoa wa Mbeya, kulingana na ilani ya CCM ya 2020-2025. Ni jambo la...
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.