Salaam wanaforum wenzangu
Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind...
Wakuu,
CCM Zanzibar jana Nov 2, 2024 walisherekea miaka 4 ya uongozi wa Rais Mwinyi pamoja na kuzindua kampeni ya Kijana na Kijani Pemba katika Uwanja wa Gombani, kampeni ambayo inalenga...
8 July 2024
‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’
Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA)...
LISSU: NIMEANDIKA BARUA YA KUTIA NIA KUWANIA URAIS WA NCHI KUPITIA CHADEMA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema ameshaandika barua ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Mkamu wa Rais wa...
Wakuu,
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kiluther Tanzania (KKKT), Askofu Fredirick Shoo amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya taarifa alizoziita potofu kuwa amehongwa Sh150...
Wakuu,
Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na...
Wakuu,
Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza...
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge...
Wakuu,
Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu...
Wakuu,
Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:
Mnatumia nguvu kubwa...
Wakuu,
Ila CCM hakuna kama nyinyi duniani🤣🤣😂:
DC Abdallah anasema wanafunzi wa vyuo wameomba bonanza kumshukuru Rais Samia kwa kufanya maisha yao vyuoni kuwa bora, na hawa ni wanafunzi wote...
Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ambekabidhi Baiskeli kwa Wakulima 40 wa Mfano kwa Zao la Pamba Halmashauri ya Ushetu, ambazo zitawawezesha kufuatilia mwenendo wa uzalishaji...
Tanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM
Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama...
Wakuu,
Mpaka tar 27 mambo yatakuwa motooo!
====
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibua kumbukumbu za harakati zake za kutetea maslahi ya mkoa wa Kigoma na viongozi...
..ACT wametoa kauli ambazo zimetolewa na Mtanganyika lazima angeshtakiwa.
..ktk hotuba yao wanamfananisha Dr.Mwinyi na mzigo uliovunda uliopelekwa Zanzibar na Dr.Magufuli.
..Na wanasema 2025...
Wakuu,
Ila Abbas ana vituko:BearLaugh::BearLaugh:TAKUKURU hamuoni hizi rushwa nje nje?
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
Wakuu,
Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Wakuu,
Nawaacha mtoe mapovu, mambo ndio kama haya, Sheikh amepewa land rover bana likamsadie kwenye kutoa huduma zake.... Hii si rushwa kabisa? Tusubiri 'zawadi' hizi ziendelee kutolewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.