Wakuu,
Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah.
Asema kuna...
Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM.
Nimekuwa nikizungumza na watu...
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya...
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili.
Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza...
Wakuu,
Makubwa!
====
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania...
Wakuu,
Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa...
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya
Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana...
Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto...
Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa...
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa...
Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa...
📍Izigo_Muleba
🗓️Tarehe 07/12/2024
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha...
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM...
Wanabodi,
Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura
Makamu...
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa...
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.