Ni kuhusu madai ya Mdee na wenzake kurejea CHADEMA ambapo Boniface Jacob kuptia Mtandao wa X, kaandika hivi:
SIYO RAHISI NA HAIWEZEKANI KUWA JAMBO LA SIRI...!
Nimeona mjadala wa kuhusu kurejea...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa...
Nitaenda kwa Mbowe ndani ya siku mbili hizi kumshauri asifanye dhambi kutufanya wafuasi wake tukafarakana kwa kipindi hiki muhimu kuliko nyakati zozote zile. Nitamsihi kuiona mbele ya CHADEMA...
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie...
Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo...
Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu...
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 -...
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama.
Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni...
Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge.
Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo.
Kapita mule mule...
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu.
Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na...
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya?
Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka...
Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali...
Kumekucha huko!
Bwana mkubwa Mbowe amedai kwamba familia yake imechoshwa na mambo yanayomkuta mzee wao sasa wamtaka apumzike na siasa na akafanye mambo mengine.
Hoooo! Sio mbinu ya kinamna ya...
Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri...
Wakuuuu,
Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Pia soma: Kuelekea 2025...
Najiuliza hawa wafuasi wakereketwa wa Mh Mbowe, mwenyekiti wa kudumu CHADEMA Taifa,
Hawa watu waliojitokeza kwa wingi na bodaboda si chini ya 50 ile aiku mbowe anaitisha maamdamano mbona...
Hello!
Natumai mu wazima!
Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.