Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana
Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha...
Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji...
Wakuu,
Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri...
Wakuu,
Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada?
Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine...
Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema...
MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA)
VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa?
Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka...
Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote...
Wakuu,
Heche ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X
Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika...
Mwanachama wa Chadema, Waziri Mwanyevyale, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiko Mkoa wa Ilala, amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kutoa tamko, kuhusu baadhi wa wanachama wa Chama...
Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
Mbunge wa Morogoro Kusini...
Mbunge wa morogoro kusini masharik
Babu tale atoa elf 50 Kwa kila mjumbe wa jimbo lake Zaid ya wajumbe 800.
Huku alisema pesa hiyo sio rushwa bali imetoka mfukoni kwake mwenyewe
Hii ingekua...
Wakuu,
Ndio nilichokuwa nasema, CCM hata chawa anapewa anafundishishwa ili kwenye urpokaji wake akafanye kazi iliyotukuka jambo ambalo kwa upinzani wakosa, mwisho wa siku wanaishia kwenda ovyo...
Wakuu,
Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa?
=====...
Wakuu,
Mara baada ya CHADEMA Shinyanga na Mwanza kuonesha kwamba wanamuunga mkono Tundu Lissu, CHADEMA Ilala nao wameonekana kutoa tamko.
Mnaweza kuwatukana CHADEMA kuwa kina mgawanyiko lakini...
Arusha leo katika hafla ya kufahamiana kwa sekta binafafsi.
---
Maandalizi ya hafla fupi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Christian Makonda kwa ajili ya kuwakutanisha Wakuu wa Taasisi na...
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama!
Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu...
Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.
Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania...
Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo...
MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU...
Habari wakuu
Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.
Swali langu kwenu, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.