Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa...
Kwa kumbukumbu zangu, katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, Mhe. Mpina alisema kuagiza sukari nje ni kupoteza fedha za kigeni.
Jana tarehe 04/08/2024, Mama Samia anaripotiwa kukirii japo...
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda...
Anaandika Wakili Joseph oleshangay
freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu”
Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz ...
Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa...
Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CDM inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza...
Dadadeki!
Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana.
Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti.
Mimi sijui...
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa...
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa...
Wakuu,
Waandishi Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki wa Kata 33 za Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo ya siku mbili leo tarehe 23 Disemba, 2024.
Mafunzo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi...
Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CHADEMA inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza...
Kama hujui Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wako Chini ya Tamisemi ndio Wasimamizi wa Uchaguzi mkuu
Safari hii Tamisemi inaongozwa na mwanasheria Mchengerwa ambaye siyo muongeaji sana kama Jafo...
Hali ya migogoro ndani ya vyama vya siasa Tanzania, hususan CHADEMA na CCM, inaonyesha mifumo tofauti ya usimamizi wa migogoro na mshikamano wa ndani ya vyama hivi viwili:
CCM:
Licha ya migogoro...
Wakuu,
Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele.
Ni mwendo wa kujiweka karibu na...
MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu...
Ukiachilia mbali kutukanwa na Viongozi wenzake akina Ntobi, Yeriko nk Lakini hili la Ubangaizaji ni madharau yaliyotuka
Ukishindwa na kubaki Chadema Mh Tundu Antipas Lisu utajikuta unadharirika...
Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo?
Lissu anataka mteremko? Si apiganie...
Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.