Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa...
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma
Taarifa kamili hii hapa
Nimepata...
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
Nini...
..Mashaka yangu ni hayo?
..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania.
..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama.
..wanajijali wao...
Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe...
Wakuu,
Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani!
=====
Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika...
2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa...
Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea?
Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na...
Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti.
John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo.
Ni mwanachama Asili wa...
Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema!
================
Chama...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua...
Wanajukwa!
Kwahiyo huyu Kasesela anataka kuwapa jeuri gani au anataka kuwapoteza wenzie?
Kila mtu atapita kwa kipimo cha kazi aliyoifanya kama alifanya uozo basi itakula kwake na awamu hii naona...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa...
Hata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu...
Wakuu,
Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM??
====
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa...
Alitoa saa 48 eti kutafakari na kuangalia mwenendo na akiona vipi ataingia kutetea CHAMA CHAKE, elewa kutetea chama chake.
Je, kwanini asingewahimiza vijana wa BAVICHA kutetea chama chao kwa...
Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa.
Katibu Mkuu anawatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari, 2025...
Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.