Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda...
kwa jicho la mbali naweza sema Lissu alipanga haya yanayotokea siku nyingi, pengine hata zaidi ya miezi 12 nyuma, na aliamua wapumbaza team Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa Team Mbowe wanacheza game...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili
Jambo TV
Akizungumza kupitia mtandao wa Clubhouse usiku huu, Lissu ameeleza kuwa Rais Samia alialikwa na Mbowe kushiriki...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za...
Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa...
Wakuu,
Wakati mnaendelea kujadili mchuano kati ya Lissu na Mbowe, viongozi wa CCM wameendelea kutustaajabisha!
=================================================
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa...
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani
Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema...
Habari za Leo.
Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA.
Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na...
Wakuu,
Lissu amesema akiwa Ubelgiji hawa ni watu wa kwanza kabisa kuonesha uongo wa maridhiano na waliupinga kwa nguvu zote, nao ni Msigwa, Wenje, Lema, na Gaston.
Kipinga kwao maridhiano hayo...
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Habari wa kuu! Mimi sio nabii Wala sio mpiga ramli ila Kwa taarifa za ndani kabisa ni kwamba Kuna mambo matatu tutarajie kuyaona kuanzia January 2025.
1). Tundu Lissu kushinda uchaguzi Kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ambaye ameshika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na serikali kuanzia ukuu wa wilaya,Mwenezi wa CCM Taifa pamoja na UWaziri .
Ameibuka kibabe na...
Waandishi wasaidizi na waongozaji mashine za biometric (BVR) kwenye zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya, wametakiwa kutotumia vinywaji vyenye...
Wakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji...
Hellow !!
Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,
Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi...
Jumatano wiki hii watanzania watakuwa kwenye zoezi la upigaji kura kuwachagua wenyeviti wa serikali za mitaa,wajumbe wa serikali za mitaa na wenyeviti wa vijiji.
Kutokana na jambo hilo serikali...
Mbunge Babu Tale ameandika "Mapema leo tarehe 23 Desemba, 2024, tumemaliza kilio cha muda mrefu kilichokuwa kikitokana na kukosekana kwa Gari la kubebea wagonjwa katika Kata ya Ngerengere...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tiketi za ndege kwenda na Kurudi nchini Morocco kwa washindi watatu wa mashindano ya Pikipiki ya Samia Motocross...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.