Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap...
Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama...
Wanabodi,
Tukubaliane kwamba CHADEMA kuingia madarakani ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano. Ni Jambo ambalo litahitaji maandalizi ya muda mrefu na tofauti na wengi wanavyo fikiria...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba...
Rais Dkt. Samia Suluhu ametoa Shilingi milioni 10 kwa Chama cha Waendesha Bodaboda Wilaya ya Arusha ili kusaidia kukamilisha utaratibu wa kuanzisha Chama cha Ushirika cha waendesha bodaboda hao...
Leo, Desemba 27 Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mheshimiwa Mrisho Mashaka Gambo, akiambatana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) nchini Tanzania, Mohammed Kawaida...
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda...
CHADEMA leo sio rahisi kufa kama TLP au NCCR
by Nanyaro EJ
Ni mwanga wa matumaini na tumaini la mabadiliko ya kweli kwa Tanzania. Tukilinda mshikamano wetu, hakuna nguvu inayoweza kutuangusha...
Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Urais mwaka 2025 joto kumeanza kuchangamka maeneo mbalimbali ya Nchi kwa watu wenye nia ya kujitosa kwenye udiwani au ubunge kuanza kupitapita.
Moja...
Wakuu,
Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Kawaida amemjibu aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema akisema kazi ya usafirishaji abiria kwa kutumia...
Ndugu zangu Watanzania,
Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana...
Haya ni kutokea katika waliyosema wenyewe hadi sasa, watia nia hawa:
A. SERA ZA LISSU:
1. Ukomo wa madaraka kwa Kiongozi wa chama.
2. Uwazi katika mapato na matumizi.
3. Upatikanaji wa...
Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini...
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu...
Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni...
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanazidi kupamba moto huku Vyama vikijipanga Kila kimoja Kwa staili yake.
CCM imeanza Kwa kushusha vyuma "Mabasi ya Youtong Upgrade piruuu tayari kukiwasha.
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.