Chadema wanamuogopa Tundu Lisu hadi Maaskofu na Mashehe wanashangaa kulikoni
Huu uoga wa Chadema dhidi ya Mwanachama mwenzao tena Kiongozi unatoka wapi?
Kuna Siri gani?
Nimekaa pale 🐼
The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi...
𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐀𝐊𝐈𝐑𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐎𝐓𝐄𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐄𝐋𝐅𝐔 𝐘𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐏𝐈𝐆𝐎.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya...
Wakuu,
Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia!
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika...
Imeandikwa na: Adv Tito Magoti
Niliweka wazi kwamba ninamuunga mkono Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika safari yake ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana...
Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025.
"Wako watu ambao wanasema, na sidhani...
Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba...
Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.
====
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo.
"Hii ni kutokana...
Propaganda ni mbinu ya mawasiliano inayolenga kushawishi watu kuamini, kukubaliana, au kutenda kwa namna fulani kwa kutumia taarifa zilizochaguliwa, zilizopotoshwa, au zenye mwelekeo wa upande...
Ni kweli Tundu Lissu ameshatia nia lakini kwa mujibu wa mjumbe wa CC, Yeriko Nyerere ni kwamba Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa JMT na hata 2020 walimteua kimakosa
Nimeona tuwekane sawa...
Maria space imemuharibia LISSU kisiasa.
1. Uenyekiti CHADEMA ni wazi uko mbali na yeye.
2. Akihamia chama chengine kama Chauma uwezekano wa chama hicho kuwekewa biti na kujikuta LISSU anayumba...
Wakuu,
Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi...
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu...
Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu...
"Unaposema leo kuwa Lissu hafai, mtu mliyemuamini nyinyi (CHADEMA) wenyewe, kama Lissu hafai basi CHADEMA haifai. Kama Tundu Lissu wanamuona hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, CHADEMA haifai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.