Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA
Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji...
TAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana...
HISTORIA YA MKOA WA TANGA
Mkoa wa Tanga ni moja kati ya mikoa 31wenye eneo la 27,348 km² na upo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa...
HISTORIA YA MKOA WA MANYARA
Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Katavi ni 1,152,958; wanaume 569,902 na wanawake 583,056.
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na...
Wakuu,
Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji.
Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
Heshima sana Wanajamvi.
Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati.
Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati...
Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA.
Kumekuwa na mpambano...
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai...
Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI...
Chadema kilikuwa kimbilio la vijana wengi wasomi nikikumbuka vijana wengi wasomi kimbilio kilikuwa Chadema lakini kwa sasa naona Chadema inaelekea kuwa CUF ilio changamka shupazeni TU shingo ndio...
Baada ya Chadema kuupinga udikteta kwa miaka mingi, sasa wameamua kumkaribisha dikteta mezani kwao.
Mpaka sasa anapingana na maamuzi ya kila kikao cha chama cha kidemokrasia, anasema yeye...
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba...
Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia...
Wanachama Wawili wa Chama cha Wananchi CUF wa Kijiji cha Mabama Wilayani Uyui mkoa wa Tabora Husseni Hammis Kwabi Aliyekuwa Mjumbe mkutano mkuu CUF Wilaya Uyui na Mashaka Said Lintu Aliyekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.