Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga. 2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa...
4 Reactions
18 Replies
615 Views
Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa. Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha. Watu...
2 Reactions
8 Replies
474 Views
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa Happy New Year 😄
2 Reactions
37 Replies
686 Views
Mkoa wa Singida upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya Manyara upande wa kaskazini, Dodoma mashariki, Iringa na Mbeya kusini, Tabora upande wa magharibi na Shinyanga. Mkoa wa Singida una ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Wakuu, Moshi umeanza kufuka taratibu, maneno haya si mageni kwetu Gerson Msigwa. Hivi ndivyo Magufuli alivyosema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 Uchaguzi 2020 - Rais Magufuli: Uchaguzi 2020...
2 Reactions
9 Replies
350 Views
Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe...
10 Reactions
17 Replies
550 Views
Awa ni wajumbe wa Njombe 14 kati ya 21 waliojitokeza kumuunga mkono Lissu. Mpaka sasa Lissu ameshachukua uenyekiti Njombe bado kuapishwa tu.
1 Reactions
3 Replies
200 Views
Wakuu, Kash kash zimeanza rasmi sasa! ===== Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, Januari 1, 2025, amewahutubia wajumbe wa...
2 Reactions
12 Replies
679 Views
Tupo Salama bila Shaka! Kama kichwa kinavyojieleza. Kwa kweli sivutiwi na Tabia ya Lisu kwendakwenda Ubelgiji. Bado sijajua nini kinanifanya nisivutiwe na Tabia hiyo lakini nakiri Tabia hiyo...
8 Reactions
78 Replies
1K Views
Mkoa wa Ruvuma. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe. Makao makuu yako Vwawa...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Wakuu Jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilayani Rufiji Pwani imewaonya wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM walioanza kutangaza nia na kufanya kampeni za chini kwa chini kama ishara...
2 Reactions
8 Replies
278 Views
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Wakuu, Inaonekana kwamba bado vyama vya upinzani vina imani na mchakato wa Uchaguzi nchini ========== Vyama vya upinzani vimeitaka Tume Huru ya Uchaguzi kuhakikisha inasimamia misingi ya haki...
1 Reactions
2 Replies
305 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atoa mapendekezo ya uchaguzi huru na haki katika ngazi ya chama hicho unaotarajiwa kifanyika mwezi huu wa Januari 2025. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua...
1 Reactions
5 Replies
563 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Heri ya Mwaka Mpya wanajukwaa! Tuje hapa. Kumbe zile kelele nyingi za kudai kwamba kero za Muungano zimeanza kutatuliwa kwa kasi kumbe ilikuwa danganya toto. Mbona hii sasa ni tabu tupu...
1 Reactions
18 Replies
755 Views
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Tuna raslimali nyingi sana kama madini lakini vinatufaidisha kwa kiwango cha chini sana.Hatuna mitambo ya kuchimba madini hayo,hatuna vifaa vya kisasa kwa ajili ya kilimo,vyote tunaagiza nje,ila...
2 Reactions
7 Replies
364 Views
( 1) Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, anaonekana kama Wizara ya Fedha ni mali yake na ni kama aliyemteua kapigwa upofu huyu mtu ni hatari sana katika kusimamia mambo ya fedha za nchi na Kuna...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom