Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema Katika nafasi zote za uongozi pale Chadema hakunaga Ukomo wa Uongozi
Lakini mimi nafahamu Bavicha Wana Ukomo Kwa kigezo Cha umri na hii siyo Sawa
Umri wa...
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM
Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha...
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini...
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani.
Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania
Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa...
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe amesema amekuwa Kiongozi kwa miaka 30 na Sasa ni Kiongozi mkuu wa chama kwa miaka 20 hajakurupuka
Mbowe amesema kashfa ndogo ndogo haziwezi kumtoa kwenye...
Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
Mwenyekiti wa chadema Kanda ya Victoria Mh Wenje amewataka wafuasi wa Mbowe na LISU kuacha Matusi kwa sababu hayasaidii chochote kwa mgombea wako
Wenje amewataka hao Machawa wakome kumgombanisha...
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama hicho imewakumbusha Wanachama wote wa Chama hicho kulipia kadi zao ili kuwapa uhalali wa kushiriki vikao muhimu vya Chama chao ifikapo January 21
Zaidi Tangazo...
Simple mathematics.
Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine.
Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje...
Ni dhahiri Sasa Kuna Chadema mbili ile ya Matajiri inayafadhiliwa kwa c/I ya Wenje na hii Asilia ya Wakunja Ngumi ambayo Mzee Nyanga Bob Makani aliwaachia Bure Nyumba yake iwe ndio Makao makuu...
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya...
Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa
Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
Wakuu,
1. Isack Francis Mtinga - MBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI
Tarehe ya Uchaguzi (2020): Alipata kura 35,457
Elimu
Shahada ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Chuo Kikuu cha Sokoine (1999-2003)...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Pia, Soma: Sijawahi kumsikia Mbowe...
Wakuu
Uchaguzi unapamba moto
==
Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine
Hali imekuwa tofauti...
Wakuu,
Eric Shigongo - MBUNGE WA BUCHOSA
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kura: 20,581
Mpinzani: Mwambino Julius Isack (CHADEMA) – 11,285
Elimu: Shahada ya Uhusiano wa Umma (Public Relations)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.