Wakuu,
Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.
Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au...
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi.
2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe...
Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja.
Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa...
Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione...
==
Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote.
Mhe John Heche...
Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho...
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA.
Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kilivuka salaama mwaka 2019 na hii nikwasababu mbowe hakuwa na mpinzani wake ! Hayo tumeyaona kipindi cha CHACHA WANGWE, NA ZITTO ZUBERI KABWE , tabia...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa...
TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga.
Alizungumza kwa mara ya...
Wakuu,
Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi.
Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global...
Huu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.
Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa...
Uamuzi wa Heche wa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kukisaidia sana chama chake kwa sababu zifuatazo:
1. Hotuba yake imeonekana level heade. Kuingia kwa Heche katika...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Wakuu,
1. Festo Sanga - MBUNGE WA MAKETE
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu:
Shule ya Msingi ya Bulongwa (1996-2002, CPEE)
Shule ya Sekondari ya Mwakavuta (2003-2006, CSEE)
Shule ya...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM...
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute...
Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.