Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Siasa za Arusha ni tofauti kidogo. Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni...
1 Reactions
14 Replies
623 Views
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu. Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa. TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu...
3 Reactions
22 Replies
701 Views
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO, == Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*...
33 Reactions
99 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa...
5 Reactions
11 Replies
587 Views
Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu. Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X Kwamba...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa...
16 Reactions
117 Replies
7K Views
Wakuu, Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla Kaeni kwa kutulia...
0 Reactions
6 Replies
354 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana...
2 Reactions
5 Replies
664 Views
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba...
37 Reactions
158 Replies
7K Views
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha. Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Mbowe anaona vijana wake anao walea na kuwaleta mjini wana dharau. Lakini anasahau inawezekana kabisa wana nia njema ya kuiokoa Chadema na Tanzania. Kwa Watanzania wengi wnakubaliana na Lissu na...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa. Si mtaratibu...
4 Reactions
158 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili...
13 Reactions
50 Replies
1K Views
Power Balance , Kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa . Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake...
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Wakuu Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji. Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa...
35 Reactions
224 Replies
9K Views
Freeman akihojiwa na Crown FM leo Januari 06, 2025 amesema... “Unaweza ukanitukana tusi lolote halitanitoa katika focus ninachosema sio kwamba nina uhakika wa ushindi kwa sababu ninakubalika na...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
2 Reactions
32 Replies
966 Views
Kuanzia sasa hatutashiriki tena kwenye chaguzi zijazo ukiwemo uchaguzi mkuu 2025 bila kuwa na Katiba mpya na mfumo mpya wa kidemokrasia wenye Tume huru ya uchaguzi na sheria mpya za uchaguzi...
18 Reactions
74 Replies
2K Views
Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga...
2 Reactions
21 Replies
748 Views
Back
Top Bottom