Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM...
2 Reactions
9 Replies
405 Views
Akihojiwa na BBC Swahili, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewashangaa wanaodai kuwa hafai kuongoza hata Mtaa wakati kitambo kidogo alifaa hadi kuwa Rais (Akapewa dhamana ya kugombea...
0 Reactions
11 Replies
414 Views
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi...
13 Reactions
68 Replies
3K Views
Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif. Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali. Hii imetokea baada ya maalim...
5 Reactions
36 Replies
709 Views
Wakuu, Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha. Itoshe kusema kuongoza...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Ndugu Isihaki Rashidi Mchinjita, ameeleza kuwa baraza kivuli litatumia mwaka 2025 kusimamia haki za wananchi, uwajibikaji wa Serikali na kupigania mageuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Mbowe ni Mkristo na anesema Ukweli kabisa kwamba alimsaidia Tundu Lisu kiuchumi Kwa muda mrefu Binafsi nafahamu Watu wenye Fedha wanavyoweza kuwatumia kiujanja Watu wenye akili. Hii ipo hata...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi. Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli...
15 Reactions
110 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za...
19 Reactions
261 Replies
7K Views
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa...
8 Reactions
109 Replies
4K Views
Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais. Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa...
2 Reactions
2 Replies
285 Views
Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema: "Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma...
33 Reactions
428 Replies
20K Views
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge...
11 Reactions
89 Replies
5K Views
Tayari wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali za chadema taifa na wajumbe wa mkutano mkuu wameanza kushikana, uchawi, kulaumiana na kutuhumiana kufanyiana ushirikiana kuelekea katika chaguzi za...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika...
0 Reactions
3 Replies
305 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila === Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Habari wakuu, Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa...
1 Reactions
9 Replies
303 Views
Back
Top Bottom