Lissu ameulizwa kwanini ameongea sasa kuhusu rushwa za mama abdul na mwanaye anakuja kuongea sasa, amejibu hivi;
Nilihitaji kukusanya taarifa zaidi kabla sijangumza, kabla ya kuzungumza kwenye...
Msikilize kwa makini if interestd anyway! Nawakaribisha machawa wote wa FAM na TAL, kuna cha kujifunza kikubwa kuhusu wajumbe kuwa informed who to vote for!
Maridhiano basi, sasa utatumia mbinu...
INGAwa Mwenye kiti Mbowe amejitahidi kuzima watu makini kwa muda mrefu ili abaki yeye peke yake lakini bado naamini wapo watu makini
Nashauri wajitokeze watu makini NDANI ya chadema wamchukulie...
Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha...
Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
kwa dalili hizi,
ishara, hali ya kisiasa na umaarufu wa Dr Samia Suluhu Hassan kiutendaji nchini, ni dhahiri atapata ushindi wa kishindo endapo atagombea urais 2025..
kwa mfano,
kwa sapoti kubwa...
Sabato Njema Wakuu!
Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa...
Wakuu,
1. Kwagilwa Reuben Nhamanilo – Mbunge wa Handeni Mjini
Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Alipata kura 15,241, akimshinda Thadeo Joachim...
Wanabodi,
Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine
====================================================...
Wanabodi,
Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly.
Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri...
Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa...
Wanabodi,
Wanawake visiwani Zanzibar wenye sifa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura katika zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Febuari Mosi...
Wakuu,
Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya.
Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na...
Wakuu JF amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yenu ,popote mlipo ,niwatakie kheli ya mwaka mpya popote mlipo.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kuleni pesa ikitokea mtu kajipendekeza...
Wakuu,
Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea
=====================
Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Njombe Mjini Emmanuel Kayombo na wenzake saba wamehama Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi CCM
Mwaka 2020 Kayombo...
Wakuu,
Hadi nimecheka :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: oyaa napita hapo dk 0 kwenye gari aina fulani, fanya kunipiga mkono:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:.
=====
Waziri wa Mambo ya Ndani ya...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka.
Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.