Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Katibu wa Chama cha wananchi (CUF -The Civic United Front) mkoa wa Mbeya Ibrahim Mwakwama amesema wapinzani wanatakiwa kuachana na maslahi binafsi badala yake waungane ili kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni...
9 Reactions
7 Replies
479 Views
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili...
12 Reactions
68 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini...
5 Reactions
16 Replies
737 Views
Hellow Tanganyika!! Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako. 1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt...
10 Reactions
29 Replies
825 Views
Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza...
1 Reactions
6 Replies
271 Views
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi. Kuna watu wanaandaliwa waje...
28 Reactions
143 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi...
25 Reactions
200 Replies
47K Views
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Peter Slaa akizungumza hivi karibuni kupitia jukwaa la Kumekucha la mtandao wa Clubhouse. "Mimi kwa maoni...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini...
14 Reactions
219 Replies
7K Views
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana...
2 Reactions
12 Replies
631 Views
Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa...
4 Reactions
9 Replies
483 Views
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi...
30 Reactions
93 Replies
4K Views
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa. Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni...
4 Reactions
11 Replies
685 Views
Wakuu, Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni :BearLaugh: :BearLaugh: Au ndio anatuonyesha ile historia yake...
6 Reactions
23 Replies
953 Views
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka...
3 Reactions
10 Replies
695 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga...
23 Reactions
170 Replies
8K Views
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom