"Tunayo kampeni inayoendelea ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya masuala ya nishati safi ya kupikia, kampeni ambayo inakwendaa kuokoa mazingira yetu, na ambayo sisi kwenye mji wa utalii tunatakiwa...
"Tunayo kampeni inayoendelea ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ya masuala ya nishati safi ya kupikia, kampeni ambayo inakwendaa kuokoa mazingira yetu, na ambayo sisi kwenye mji wa utalii tunatakiwa...
TWAHA MWAIPAYA ACHA NIKUSAIDIE KIDOGO.
Na.
Peter Dafi.
Bukene, Nzega, Tabora.
Ulipokuwa Wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora Ulisema Pesa za Kufa na Kuzikana za Jeshi la Polisi Zimeliwa na CCM.
Huo...
Wakati akifanya mahojiano na ITV, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amehoji ni wapi Rais anatoa fedha za kuwapa viongozi wa dini? kwa mshahara upi?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
Utangulizi
Marekani ni moja ya nchi zinazotoa mchango mkubwa kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) na pia kwa Global Fund, shirika linaloshughulikia magonjwa kama vile VVU/SIDA, malaria, na kifua...
Tanzania ikisaidiwa na kizazi kipya imekuwa nchi kama vile ya wapuuzi yaani tuna puuza mambo muhimu
1. Wanajeshi wameuliwa huko Congo kama nchi tuna puuza puuza tu hakuna majonzi ya kitaifa
2...
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo anazungumza muda huu lengo ni Uhamasishaji wa Kutoa Elimu a Nishati Safi kwa Viongozi wa Baraza la Wazee Arusha
Karibu kufuatilia kinachoendelea...
Sina hakika kama pale Wizara ya viwanda na biashara kitengo cha Mipango na Maendeleo ya Biashara wanajua kinachoendelea duniani
Cha kushangaza Watanzania wenye mitaji Ndio wamejikita kufanya...
Kuelekea uchaguzi wa 2025, Oktoba, tujadiliane kuhusu uchaguzi huu.
Wadau habari,
Tushirikishe mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi huu, ikiwa ni pamoja na masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii...
kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo...
Kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika Mtandao wa X inayomkabili mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Jumatano, Februari 19, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan licha ya jana kushinda kutwa nzima akifanya kazi mbalimbali pasipo kupumzika ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya...
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi...
Tuna miezi mitatu hatuna maji
Eneo ni kajima (Rivaside juu) mtaa wa Kibangu Ubungo
Maji hayatoki lakini watu wanauza maji na kuleta na magari na kuyauza kwa ndoo 500
Tumelalamika tumechoka...
Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread...
Husika na maada tajwa hapo juu;
Tunaiomba wizara ya Utumishi wa umma na TAMISEMI watoe muongozo mpya wa sifa za viongozi utakaozingatia Elimu kubwa (Masters/PhD) ili kuondoa ukiritimba huko...
No reform no elections ni agenda ya kuwapotezea uelekeo wa kisiasa chadema na kuwapoteza kabisa kwenye ramani ya siasa.
Hakuna alie na uhakika ikiwa chadema watashiriki au hawatashiriki uchaguzi...
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby ambaye ni kaka wa mfanyabiashara Meleikh Online Shabiby alivamia sherehe ya wafanyakazi wa Mdogo wake Meleikh Shabiby na akapata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi...