Ivi statistically, mgombea urais lazima awashinde wenzie kwa percentage ngapi? Nikiangalia statistically, kama results zina 95% confidence interval...ina maana kuwa lazima ashinde by more than 5%...
Yafuatayo ni matokeo ya kura YA Urais iliyopigwa katika Campus ya SUA (Main) kwa vyama viwili muhimu
GUEST WING A
CHADEMA= 44
CCM = 44
GUESTWING B
CHADEMA = 64
CCM = 56...
Majimbo mengi yenye upinzani makali kati ya chadema na CCM wapiga kura wake walio jitokeza ni wachache kuringanisha na waliojiandikisha, mfano wamejiandikisha 400 wanaopiga kura 100, na asilimia...
By. M. M. Mwanakijiji
If there is anything that CCM has done pretty well during the campaign is the CCM old trick that has served them very well in the past. Instilling fear in the people to the...
Masanduku ya Kura yakamatwa Sunday, 31 October 2010 14:04
Mwananchi
Israel Mgussi na Geroda Mabumo ,Dodoma
HALI ya uchaguzi mkuu jimbo la Dodoma mjini imetia dosari baada ya kukamatwa kwa...
Nimeongea na jamaa yangu toka tarime ambaye ni polisi wa jeshi la Jk anasema chadema wameanza kushangilia ushindi imebidi kupiga mabomu kidogo ili kutawanya watu,bado matokeo kamili hayajatangazwa...
Kuna maeneo mengi mpaka sasa NEC hawajatangaza matokeo kwa visingizio chungu nzima mara miundo mbinu,mara mawakala hawataki ku-sign n.k. baada ya masaa 15 tangu uchaguzi kumalizika.
Hii...
Ili kuonyesha kuwa maji yamewafikia shingoni Mkapa jana ameingia kwenye fani ya wanabongofleva na kuanza kushuka mashairi,Mkapa aliyeonekana kuwa na hasira na kuongea pumba nyingi na uongo...
yah,
dk chache zijazo itajulikana wazi, jimbo na idadi ya kura nilizoshinda, nina imani kubwa kuwa suti zangu zote mbili zitafanya kazi iliyokusudiwa. hadi sasa naongoza ktk kata 12 kati ya...
Pamoja na kuahidi kuweka kambi moshi mjini, mpaka CHADEMA ing'oke, Anne Kirango Malecela amethibitisha kushindwa kwake!!. Kichwa kilichovimba kimepwaya ghafla.
Majira..................Chadema na CCM ni balaa hapatoshi.......utabiri wa Sheikh Yahya wakwama.............
Habari Leo.........CCM, Chadema waumana Bara...
Inaniuma sana kubandika hii habari...
kwenye jimbo la kilosa CCM wameshinda viti 11 vya udiwana, 3 wapepita bila kupingwa na kimoja kachukua mtu wa CUF....
Kwenye ubunge CCM wamepata kura nyingi...
Kwa kweli adui, UJINGA bado unatukaba koo na hivyo ukombozi wetu bado ni mbali; Nasikitika sana watanzania kuonesha kwa vitendo kukubaliana na kauli zifuatazo:
Wanaopata mimba na ukimwi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.