KATA YA KINYEREZI:
Kata ya Kinyerezi vituo vya shule ya msingi Kinyerezi na Ofisa Mtendaji matokeo ni kama ifuatavyo Kikwete (363), Dk. Slaa (348), Profesa Lipumba (56). Kwa upande wa Ubunge...
WERA WERAAAAAAAAAAAA! Ngoma inogile, hapa nimetoka kumfukuza mtu bungeni na pia kumvukuza mtu kazi kama vile alivotishia kunifukuza kazi kama.
Inatia raha saaaaaaaaana hasa kuona hapa Gonja...
HAYA WANA JAMII FORUM KWA WALE KAMA MIMI TULIOMBALI NA BONGO LAND NA TUNATAKA KUPATA HABARI ZA UCHAGUZI NDANI YA BONGO HEBU JIHABARISHE KUPITIA BBC SWAHILI(WWW.USTREAM.COM) NI KUANZIA TAREHE...
MASWA MAGHARIBI:
Matokeo ya awali kutoka jimbo la Maswa Magharibi yanaonyesha Simon Kisena wa CCM alikuwa anachuana vikali na John Shibuda wa CHADEMA. Katika Kata ya Malampaka kituo cha Masanga...
Mapambazuko yamefika
Ya siku tulongojea
Wananchi wameamka
Hofu kuindolea
Mioyo itashtuka
Kwa yale yatatokea
Tanzania itashinda, Tanzania Itashinda!!
Ndoto tuloiotea
Sasa yaanza timia
Furaha...
Mgambo wagoma kupiga kura Handeni Send to a friend Monday, 01 November 2010 06:18 0diggsdigg
Mwandishi Wetu Handeni
WANAMGAMBO zaidi ya 100 wa Jimbo la...
Wanabodi,
Sasa hivi nimepigiwa simu na rafiki yangu yuko kwenye Kitengo Cha Inteligensia cha CCM, amesema CCM imeshashinda kwa Over and Obove 80%. JK ataapishwa Ijumaa Saa 4 Asubuhi Uwanja wa...
Atoweka na daftari la wapigakura Send to a friend Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg
Zephania Ubwani, Arusha
MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha...
kuna mda nilkuwa nikipita mitaa ya stendi nikasikia kelele kama mtu analazmishwa kufanya kitu flani hiv.., sema nikaamua kuachana navyo wala ckutilia maanan hata kidogo...,
ilipofika jion...
MATOKEO ya awali ya kura za urais, ubunge na udiwani yaliyoanza kutolewa jana kwenye vituo mbalimbali nchini, yameonyesha kuwa nyota ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
Katika kufunga kampeni kulikuwepo na mambo yaliyonenwa kwa jazba.
1. Wapinzani ni Kokoto.
2. Nawaalaani viongozi wa dini wala siwakemei.
Hizi ni kauli zilizotolewa na Rais wa awamu ya tatu...
Habari zilizothibitishwa ni kwamba katika manaspaa ya Moshi CHADEMA wamefanikiwa kutwaa vitii 18 vya udiwani dhidi ya viti 3 vya CCM. Hivyo kuwapa nafasi kuunda halmashauri ya manispaa.
katika...
Daniel Mjema, Hai
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho, anatuhumiwa kumpiga vibao viwili mwangalizi wa ndani...
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji...
Ndugu zangu wana JF,
Nimewasiliana na jamaa zangu mashabiki wa chama twawala kujua wanajisikiaje baada ya kuanza kupata matokeo ya awali. mmoja ameniambia kwamba kwa mara ya kwanza mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.