Habari zilizopatikana alfajiri hii zinathibitisha ya kuwa hali ya kisiasa kwa Mbunge wa CCM Dr. Siame si nzuri baadaya kuachwa Mbali na Mgombea wa CHADEMA. Figures zitafuata punde!
Navipongeza vyombo vya habari kwa kuendelea kuwahabarisha watanzania nchi nzima juu ya kinachoendelea kuhusiana na uchaguzi, Pongezi za pekee ziende kwa vyombo vyote vya habari vilivyokuwa...
Mara nyingi tulidhani ingekuwa vema Chadema na upinzani kuungana,kweli hatukuona mbali. Kutokana na mambo yalivo katika matokeo, ccm,chadema na cuf vinaonekana. Ila cuf ina kura 1,ccm kura 400...
Nawapongeza watanzania kwa kufanya uamuzi usiotarajiwa na wengi. Wananchi wameamua kuchagua nuru badala ya giza, wameamua kuchagua haki badala ya dhuluma, wameamua kuchagua vitendo badala ya...
Naombeni kuuliza hivyo hizi habari zote za Uchaguzi na ushindi wa majimbo tunazoangalia zinaaminika vipi? Hata kama kuna freedom of speech Jamiiforums inahitaji ku-monitor na ku-verify hizi habari...
Bado naendelea kukusanya matokeo kutoka vituo mbalimbali ila vyooooye ambavyo nimeshapita Chadema wamefunika mbaya...ccm wameachwa mbali mnoo!!
Sijaandika namba kamili sababu kuna pilika...
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.
NIMEAMUA KUSHARE EMAIL NILIYOTUMIWA NA RAFIKI YANGU AMBAYE NI MWANDISHI WA HABARI...
JK, Dk. Slaa mchuano mkali
*Arusha Mjini, Mbeya Moshi Mjini Iringa moto
MATOKEO ya uchaguzi mkuu...
Wenye mimi namuona ni mtu asiyekuwa na msimamo saaana hata mawazo yake ni ya kuegamia. Watu wamempigia kura kutaa kuitoa CCM madarakani na kwa kutumia Nguvu ya Dr. Slaa. kwa bahati hiyo naomba...
Katika toleo moja la gazeti la Raia Mwema toleo no 148 la Agosti 25-31 2010 ilipotiwa kwamba mgombea wa Musoma vijijini Bw Nimrod Mkono amefikishwa TAKUKURU na uongozi wa CHADEMA kwa madai ya...
Nilipigwa na Butwaa jana baada ya kutembelea vituo kadhaa katika jimbo la kinondoni ambako nilikuta kwa wastani kila kituo kilikuwa kimepata wapiga kura 136 kati ya 450 sawa na 30%.
Katika hali...
So far maeneo mengi CHADEMA wanaongoza kama Iringa town,Arusha town,rombo,hai,karatu etc unaweza kuongezea
Sasa ebu tungoje akina Kiravu watasemaje?
Updates zingine ntazipata kesho kichwa kimechoka
Wadau naomba mnipe nyepesi nyepesi za Igunga, Mzee wa Richmond na Kagoda Fisadi Rostam anaendeleaje? Upinzani tunapeta?
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.