Wadau,
Mpaka sasa CUF wameshachukua majimbo mawili ya Unguja ambayo ni Mji Mkongwa na Mwanakwerekwe. Kumbuka Unguja ndiyo kambi ya CCM.
CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba...
Wadau...
Nimejiuliza sana kuhusu hiki chama chenye miaka kede wa kede na mfumo unaoongoza nchi tangu izaliwe
Nikawaza sana kama CCM inayumbishwa na vyama vya kifamilia (allegedly), na vya...
Nimesikitishwa sana na baadhi ya watanzania wenzangu haswa wa vijijini, yani wanafanya uchaguzi kama mechi ya simba na yanga, hatukomoani hapa, tunasimama juu ya haki kwa kila mtanzania na si sisi...
Kwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia...
Jamani eh, tuhabarishane.
Nimepishana na msafara wa FFU wakiwa 'kamili'. Askari, gari la maji ya upupu, binduki.
Walioko kwa Mnyika au kwa Mdee watujuze zaidi.
Wakazi wengi na has vijana, wamejaa sana halmashauri ya jiji la Mwanza kusubiri matokeo na matoke hayo kulingana na STAR TV kwa nafasi ya udiwani viti vingi vimechukuliwa na chadema kwa majimbo...
Nilikuwa naitegemea hii link Matokeo kwa minutes to minutes updates za matokeo TZ lakini sasa iko idle. Vipi nini kinaendelea au kuna sehemu nyingine mbadala? Nilipitiwa na usingizi ndio nimeamka...
Tunavyoongea sasahivi Mh Zitto Kabwe ameshinda jimbo la Kigoma Kaskazini. Akiwa anahojiwa na Bongo Radio sasahivi amethibitisha kuwa CHADEMA kwa upande wa ubunge inaoongoza kati 9 kati ya 11 hadi...
source star tv:
ubunge:matokeo rasmi ni 21335 -chadema 14072-ccm
udiwani kata8-chadema,ccm wamepata 3 na cuf 2.
....great!great!
yametangazwa na msimamizi wa jimbo.
Wana Jamii, Leo hii nimesikiliza majibu ya mkuu wa Tume ya uchaguzi juu ya malalamiko ya vyama vya upinzani specifically CHADEMA, kwamba usalama wa Taifa pamoja na tume wanacheza na daftari la...
Unajua nilikuwa naspare mda mdogo sana kusikiliza vipindi vya ubunge tena hasa ikitokea kama coincidence.
Izi tetesi za wabunge wapya tena akina Lissu,Sugu,Msigwa etc unaweza ongezea
Inanitia...
Habari ambazo nimezipata kutoka musoma ni kuwa Nyerere wa CHADEMA Musoma anaongoza katika kata 14, tena kwa mbali kabisa. Chanzo kinaaminika kabisa. Wananchi wako barabarani kuhakikisha usindi...
Matokeo rasmi mpaka sasa Chadema inaongoza kata 10 kati ya kata 19. Tayari barabara kadhaa zimefungwa kutokana na watu kujaa wakishangilia. Mgombea ubunge wa Chadema Lema yupo katika kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.