Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia matokeo ya uchaguzi mwaka huu kwa ngazi zote tatu za urais, ubunge na udiwani. Kwa kweli matokeo yanatia moyo na kuamsha ari ya mabadiliko zaidi. Hii ni salamu...
UNAWEZA PATA MATOKEO KWA KUSIKILIZA BBC HAPA
BBC Swahili on USTREAM: Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ikisikika moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam maalum kwa matangazo ya uchaguzi..
Tume yaahirisha Uchaguzi katika baadhi ya Majimbo na Kata
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUAHIRISHA BAADHI YA CHAGUZI MBALIMBALI
Tume...
MAKAME, KIRAVU WASHTAKIWE HARAKA! :A S-danger:
Watanzani nchi nzima wanasubiria Matokeo ya Kura zao walizopiga kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani wao. Cha kushangaza matokeo mengi yanatangazwa...
Tume ya uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo ya kura ya Urais katika majimbo kumi na tano ambapo mgombea wa Chama cha Mapinduzi, Ali Mohamed Sheini ameibuka mshindi katika majimbo kumi na tatu...
Huko maswa imetangazwa na channel ten kuna kituo kiko 150 mts (nyalikungu) kutoka ofisi za msimamizi wa uchaguzi matokeo yake hayajamfikia msimamizi. lakini kuna box za kura zimetoka zaidi ya...
Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr...
Kuna tetesi kuwa batilda buriani ametangazwa mshini watu washerehekea barabara zafungwa walioko maeneo ya clock tower watuhabarishe nasikia watu wamejikusanya kwenye jengo la manispaa
Can't help but laugh nikikumbuka yule mnajimu aliyeliweka taifa kwenye hali tete kuhusiana na uchaguzi huu...nadhani hapa kuna Kesi nzuri tu kwa watu wenye profession yao:rockon:....
Niko kwenye mafungo na Kondoo wachache kuombea taifa zidi ya uchakachuaji! Sina update za kwa mama Leticia na kule kwa Fineas Magesa! Naombeni mwenye fununu!
Mch Masa
kuna kitabu cha MUNGU kinasema haki huinua taifa JK, unayaona ,Mkapa ni heri ungenyamaza ,KEJELI za JK kwetu watumishi wa umma zitaitafuna CCM mileele hadi pale itakapo fanya maamuzi magumu...
matokeo ya awali ya Uchaguzi yakiemdelea kuonesha kutofautiana na tafiti za Redet na synovate. Je, taasisi zilizofanya utafiti na kutoa matokea hayo ziendelee kufanya kazi zao hapa Tz? Watendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.