Wawakilishi wa BBC wakihojiwa kutoka sehemu mbalimbali wamesema vijana wengi na wanaume ndio waliojitokeza ikilinganishwa na wanawake.
Baadhi ya sababu zilizotolewa na wanawake ni kukatishwa...
Habari za uhakika baada ya Dialo na Masha kumwagwa vibaya na CHADEMA JK ashukuka kisiri usiku hakuna ajuaye kafuata nini. Yuko Bugando kumuona swaiba wake Masha aliyelazwa baada ya mshtuko mkubwa...
Kuchelewesha kutangaza matokeo katika mikoa hiyo ni dalili za wazi kuwa CCM wanataka kuchakachua. Wananchi wamepata hasira sana mpaka sasa, wanaonekana wapo tayari kwa lolote, iwapo FFU...
Yule Baali wa pale magomeni inasemekana anasakwa na baadhi ya Wagombea udiwani na Ubunge wa CCM kwa kuwatapeli. Inasemekana aliwaahidi kuwa wangeshinda na kama kuna hali mbaya basi...
naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema...
Sasa hivi nimetoka kuongea kwa simu na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Mhandisi Humphrey Abraham Tuni juu ya mwenendo wa kura kaniamba "it is too close to call..." na bado wanakusanya...
:peep: Ni masikitiko makubwa kwamba bado watu wanafikiri mbinu za kuchelewesha matokeo zinaweza kusaidia katika zoezi la kuchakachua kuza 2010??? jamani watu wameamka uzingizini acheni umma uhamue...
Nimejaribu kupitia blog ya HAKINGOWI, amejaribu kuweka matokeo ya Urais kutoka katika majimbo kadhaa na inaonesha CCM wanaongoza kwa kishindo, lakini baadhi ya wanachama wa CUF inaonekana...
Break News hali ya znz hivi sasa sio shuari Wafuasi wengi wa cuf wanazidi kuongezeka Bwawani wakiilalamikia Tume kuwa mshindi wa urais apewe haki yake sio zulma
Kwa takuimu za majumuisho...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu.
Matokeo hayo yametangazwa jana...
Jamani, UDIWANI, UBUNGE si dili sasa, DILI ni URAIS. Hebu wenye taarifa ya jumla yote toka kwenye vituo vyote hata kama haijathibitishwa na tume, WAIMAGE HAPA.
TV wanaboa tu, story zao za...
KWA TAARIFA TU NI KUWA LEMA AMESHINDA Lakini kinachoendelea ni kutaka kumpoka ushindi.
Nawafahamisha Watanzania kuwa iwapo Batilda atatangazwa mshindi wa Ubunge Arusha mjini mjue kabisa kuwa...
ASUBUHI YA LEO NIMEANGALIA MATOKEO YA KURA KATIKA TV PALE MANZESE NIKASHTUKA KWAMBA:-
1. KITUONI WALIJIANDIKISHA WATU 480 LAKINI WAMEPIGA 132.
2. KITUO KINGINE SIKIKUMBUKI JINA WAMEJIANDIKISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.